Kosa kubwa lilifanywa katika tile sakafu hii ni uwakaji wa tiles juu ya mbao ya aina ya plywood bila ya kuweka underlayment ambayo imesababisha upasukaji wa baadhi ya tile kupasuka, na kwenye nyumba za ughaibuni takriban zote sakafu zake hujengwa kwautumiaji wa mbao ya aina ya plywood kwa sababu ya uzunguko wa hali ya hewa ya baridi na joto. tafauti na sakafu za nyumbani Tanzania
Ukwanguraji wa grout iliochoka katika mistari ya ugizaji wa grout ambao husababisha muonikano mzuri wa tile juu ya sakafu ya nyumba yako, ni muhimu kuwa safi na imara wakati wa utuzaji wa nyumba yako, katika picha inajionyesha ukarabati wa ukwanguraji wa GROUT iliochoka, kwa matengenezo wa uwakaji mpya.
No comments:
Post a Comment